Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,589
- 28,759
he he heTako la wema halijawahi onekana ndiyo maana.
nimeona watu wanasaka michirizi tu
he he heTako la wema halijawahi onekana ndiyo maana.
Hata kama ni bikra [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Daaah
Hawezi kukua wala kujitambua huyu ndo basi tena.Hivi huyu mwanamke atakua lini?
Utotoni tulikuwa tunakatazwa kuwala. Wakikaushwa inakuwa afadhali kidogo[emoji1][emoji1][emoji1]...Kumbe wewe unawajua wale samaki! Wana miba sana aisee!
Pole shemWasukuma walishakulia nini jamani? Mbona unatuandama hivyo? Watu wameshajadili na kutaja mpaka jina la mtaa huko Mwakaleli halafu we unazuka eti Usukumani...
Usisahau kuni tag[emoji23][emoji23]Anza wewe basi, mimi nitamalizia! [emoji1][emoji1]
Sijui mkuu. Watu wa Mwanza wanajua bila shaka !!!Kuna samaki wanaitwa matusi ya mwanza.
Ndio hao ningu??
Ndo imetoka hiyo...Hivi huyu mwanamke atakua lini?
Naomba ufafanuzi puliziii,umeniacha ubungo mataa maana sijaelewaNdiyo nimeona. Unakuja lini? Utakaa kwa muda gani? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Jambo la kheri[emoji120][emoji120]Pole na majukumu! Nami kwa kweli namshukuru Muumba, sijambo kabisa!
Hawezi kukua wala kujitambua huyu ndo basi tena.
Mtu anakaribia 30's huko(kama bado hajafika maana kila mwaka ako na 26)akili yake iko kama binti aliyebalehe,hovyo kabisa.
Usisahau kuni tag[emoji23][emoji23]