Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ona sasa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahsante mkuu,maana ningejiendea huko Nansio ninavyo kavizia ka andaeitini, naagiza ningu naletewa mkunga...

[emoji23][emoji23][emoji23]...Eti unakavizia ka andaeitini! Ngoja sasa hivi kataanza kuwa invisible, hakakamatiki, hakaonekani! [emoji1][emoji1]
 
ZIJUE MBEGU BORA ZA MAHINDI : Habari za muda huu mpenzi msomaji wetu, bila shaka u mzima wa afya tele, nichukue furs hii adhimu kukuarika wewe katika somo letu la leo, somo letu la leo linatokana na maswali ambayo huwa tunaulizwa na wasomaji wetu, wengi huuliza ipi ni mbegu bora ya mahindi ili nipate mavuno mengi.
 
Ukweli ni kwamba mbegu bora ya mahindi ina mchango mkubwa sana katika kupata mazao mengi na yenye thamani kubwa. Bila kua na mbegu bora sidhani kama unaweza kupata mazao bora kabisa. Hivyo kila wakati ni vyema akajifunza mbinu bora za kupata mbegu bora ili uweze kupata mazao mengi na bora pia.
 
kitaalamu kuna mbegu aina mbili japo zina majina mengi mengi kutokana na makampuni na qulity kidigo zimetofautiana mfano kuna pana,seedco, star na zingine nyingi.
Lakini kila kanda kuna aina ya mbegu ambazo zinakubali sana katika ukanda husika bado sijapata takwimu sahihi ya kila mkoa na aina ya mbegu ambayo inakubali sana.
 
MBEGU NDEFU

Hizi ni mbegu ambazo zinakaa mda mrefu kidigo kuliko mbegu fupi, mbegu hizi hukaa siku 100 hadi siku 120 hapo ndipo zinakua tayari kuvunwa. Lakini ni mbegu ambazo zinakua ndefu sana kwa kimo, zinamabua makubwa sana pamoja na punje ambazo ni kubwa pia. mfano hybrid,pana ndefu
 
Back
Top Bottom