Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Safi kabisa usisahau kunitag
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... Siku hiyo nadhani ubuyu utakuwa ni wa moto! [emoji1][emoji1]
Safi kabisa usisahau kunitag
Haya mambo inategemea “ntu na ntu”! Kupanga ni kuchagua!
Aisee... Kumbe "ningu" a availabo popote uendapo? Niliwakuta kibao hapo Ruvu darajani wanazurura tu kwenye masinia ya watu na midomo yao mibayaaaa...Hilo la wifi muzungu liondoe kabisa mawazoni mwako. Kwangu mimi hilo halitatokea, labda katika maisha yangu baada ya haya niliyonayo kurudisha namba! Nansio na muzungu wapi
na wapi bana, ataweza kula samaki aina ya “Ningu”, wenye miba/mifupa mingi? Ai donti thinki so! [emoji1][emoji1] Only in Nansyo babe! [emoji124][emoji124]
Aisee... Kumbe "ningu" a availabo popote uendapo? Niliwakuta kibao hapo Ruvu darajani wanazurura tu kwenye masinia ya watu na midomo yao mibayaaaa...