Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Ifike mahali haya mambo yakome sasa! Hakuna mambo mengine ya kufanya? They are beginning to piss me off [emoji36][emoji36][emoji36]
Ifike mahali haya mambo yakome sasa! Hakuna mambo mengine ya kufanya? They are beginning to piss me off [emoji36][emoji36][emoji36]
Hivi wafikiri wanayoyaamua hayo ni watu basi.Ifike mahali haya mambo yakome sasa! Hakuna mambo mengine ya kufanya? They are beginning to piss me off [emoji36][emoji36][emoji36]
Ifike mahali haya mambo yakome sasa! Hakuna mambo mengine ya kufanya? They are beginning to piss me off [emoji36][emoji36][emoji36]
Aaahaa zikusanye baba mgumu tuje tule bata ndogo villa park bata kubwa viwanja vikubwa ,shopping ndefu rock city mail
Ila anonymous,kuja na wifi muzungu
Ni mambo ya kipumbavu tu mengine wanafanya.Sana kuna jamaa yangu wa karibu ana wasi wasi sana na hii kitu na ana familia kubwa inayomtegemea yaan ni presha tupu
Hako kakatuni kwa avatar hapo kanatupa raha kukutania