Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Aaah akina nanilii wanakimbiliaga wazungu iki watoto watokee vizuri afocast yenye nywele mterezoHilo la wifi muzungu liondoe kabisa mawazoni mwako. Kwangu mimi hilo halitatokea, labda katika maisha yangu baada ya haya niliyonayo kurudisha namba! Nansio na muzungu wapi
na wapi bana, ataweza kula samaki aina ya “Ningu”, wenye miba/mifupa mingi? Ai donti thinki so! [emoji1][emoji1] Only in Nansyo babe! [emoji124][emoji124]
KabisaNi mambo ya kipumbavu tu mengine wanafanya.
Safi kabisa usisahau kunitagNina mpango wa kujilipua na kaselfii ka ukweli na kiloba cha dagaa Kwa pembeni! [emoji23]
Aaah akina nanilii wanakimbiliaga wazungu iki watoto watokee vizuri afocast yenye nywele mterezo