Mambo
Ningu. Jamani. Mwanikumbusha mbali sana. Samaki watamu shida miiba sasa halafu midogo midogo...Ningu kwenye mito? Sidhani aisee, hata huko ziwani kuwapata ni shida. Halafu wale hawana midomo mibaya!
Mambo
Ningu. Jamani. Mwanikumbusha mbali sana. Samaki watamu shida miiba sasa halafu midogo midogo...
Jamanii [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukifika hiyo stage,kama binti atachukua selfie kwa matumizi ya baadae, naamini kabisa ile sura ya kwenye picha ataikataa kabisa kuwa ni ya bebi wake...wazungu wanavyo toka acha na tabasamu, sura inapoteza nuru kabisa.
Naona uzi wangu una trend balaa.
Kuna samaki wanaitwa matusi ya mwanza.Ningu. Jamani. Mwanikumbusha mbali sana. Samaki watamu shida miiba sasa halafu midogo midogo...
Ni wenyewe mkuu. Wana miiba mingi midogo midogo. Utotoni tulikuwa hatupewi na badala yake tunapewa nembe...Kwa sisi wanyakyusa na wavuvi wa mto Ruvu hawa ndo wanawaita ninguView attachment 724253View attachment 724254
Weekend na kuwajibika kama kawaida.Poa, niaje weekend?
Wasukuma walishakulia nini jamani? Mbona unatuandama hivyo? Watu wameshajadili na kutaja mpaka jina la mtaa huko Mwakaleli halafu we unazuka eti Usukumani...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hawa wasukuma
Kabisaaa nitaiweka kwenye frem
Ndiyo nimeona. Unakuja lini? Utakaa kwa muda gani? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️Nasubiri kushushuliwa tu hapa[emoji23][emoji23][emoji23]
Umeona??
Tako la wema halijawahi onekana ndiyo maana.Naona uzi wangu una trend balaa.
Nimeukuta huko kwenye magrupu ya wassap...
Wanasema pengine mwezi wa kumi.Hivi pambano hili la yeye na brons bomber lipo kweli
Weekend na kuwajibika kama kawaida.
Nashukuru niko salama,aje wewe.