Mengi sana lakini ndiyo hatua ya makuzi,Mambo ya ujana yana mengi..
Ni kweli..kizazi hiki ni tofauti kabisa. Kila jambo linawekwa waziMengi sana lakini ndiyo hatua ya makuzi,
Sema miaka hiyo tunakuwa tulikuwa hatufanyi vitu kwa uwazi kama kizazi hiki.
Kulikuwa na ile hali ya kujiheshimu wewe binafsi hata kama una mambo yako nyuma ya pazia.