Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ila kwa kweli hii lugha unaijua, eeh! Ni sawa na SYB, nae akianza kukikandamiza kile Kikoromije cha ndani ndani, ni hatari! Ni hakuna kukopa neno hata moja kutoka kwenye lugha ya Kiswahili! [emoji1][emoji1]
Lugha za mama ndiyo utambulisho wetu hapa duniani. Ndiyo maana wazungu walikazana sana kuhakikisha kuwa zinakufa/zinadharaulika. Na walifanikiwa sana !!!
 
445605228_155982.jpg
 
Nguvu ya UMMA Washington DC. Manjangu yako pembeni hayakutia mtu kilema, kuua au hata kupiga bomu la machozi.

29088539_177449892896634_5438477762757132288_n.jpg
 
Back
Top Bottom