Mmmh Shimba, sio kwa udogo unaofikiria.Kakisiwa kazima kanaweza kutumbukia ziwani.
Yaani vitoto vya siku hizi havijui kabisa..Salamu tu shida..Lugha za mama ndiyo utambulisho wetu hapa duniani. Ndiyo maana wazungu walikazana sana kuhakikisha kuwa zinakufa/zinadharaulika. Na walifanikiwa sana !!!