Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Huyo fundi alikuwa anaingia kwenye barabara kuu ya lami bila kuchukua tahadhari, hivyo akagongwa na baiskeli aliyokuwa anaendesha polisi huyo," amesema Kamanda Senga.
"Tukio hilo lililotokea ghafla sana kwani alivyomgonga aliangukia kichwa na kuanza kutokwa damu masikioni.”
"Tukio hilo lililotokea ghafla sana kwani alivyomgonga aliangukia kichwa na kuanza kutokwa damu masikioni.”