Ukikopa neno umeharibu lugha.Ila kwa kweli hii lugha unaijua, eeh! Ni sawa na SYB, nae akianza kukikandamiza kile Kikoromije cha ndani ndani, ni hatari! Ni hakuna kukopa neno hata moja kutoka kwenye lugha ya Kiswahili! [emoji1][emoji1]
Ukikopa neno umeharibu lugha.
NdiyoKweli?
Ndiyo
SidhaniHakuna maafa yoyote yaliyotokea?
Lugha za mama ndiyo utambulisho wetu hapa duniani. Ndiyo maana wazungu walikazana sana kuhakikisha kuwa zinakufa/zinadharaulika. Na walifanikiwa sana !!!Ila kwa kweli hii lugha unaijua, eeh! Ni sawa na SYB, nae akianza kukikandamiza kile Kikoromije cha ndani ndani, ni hatari! Ni hakuna kukopa neno hata moja kutoka kwenye lugha ya Kiswahili! [emoji1][emoji1]
Kakisiwa kazima kanaweza kutumbukia ziwani.Hakuna maafa yoyote yaliyotokea?
Kakisiwa kazima kanaweza kutumbukia ziwani.