Ndo mana nikasema kuna watu hawajielewi.Yaan siri za pm ziwe pm sasa mtu anakuja shukuru majukwaan ndo nin sasa kama sio kurusha roho wahusika
Viroho vitakua vinawadunda,hope wagumu wetu hawapo kwenye listNdo mana nikasema kuna watu hawajielewi.
Mambo za pm zibaki huko hata kushukuru washukuru huko huko,sasa hivi wanaume hawaoni kama wanachoreshwa??
Sijui wanajisikiaje yan
Ujue kuna watu kupitia uandishi wao tu wanaonekana kabisa dish limeyumba..Ila wanaume hapohapo ndo wanataka pa kuponea.Hizi pm siku hizi mmh!
Halafu watu huwa hawakomi,kuna watu hawajielewi humu.
Kweli?Sijambo
Naimani wao wanajielewa kama niwaonavyo humu...Viroho vitakua vinawadunda,hope wagumu wetu hawapo kwenye list
Tako la wema bana basi misukule yake inashangilia na kumsifia jaman
Yaani hadi pm zao zianikwe ndo watajifunzaUjue kuna watu kupitia uandishi wao tu wanaonekana kabisa dish limeyumba..Ila wanaume hapohapo ndo wanataka pa kuponea.
Yaan eti mbona zari alipiga au mbona zari alifanya hivi,wakiambiwa wanamuiga zari mapovu teleeeNaimani wao wanajielewa kama niwaonavyo humu...
[emoji23][emoji23]acha kabisa.
Team nyumbu huko wanakazi ya kulinganisha picha ya zari na wema,wanampa kichwa tu.
Halafu ni nini kinamfanya ajishaue vile siku hizi?tanvu zari kaondoka madale naona anajishaua.
NaumwaKweli?
NaumwaKweli?
Ili wapate topic nzuri ya kudiss wanawake humu.Ujue kuna watu kupitia uandishi wao tu wanaonekana kabisa dish limeyumba..Ila wanaume hapohapo ndo wanataka pa kuponea.
[emoji24] [emoji24] [emoji24] nn tena bestNaumwa