Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Yaan eti mbona zari alipiga au mbona zari alifanya hivi,wakiambiwa wanamuiga zari mapovu teleee

Nahisi kuna mtu wa kati hapo anamtumia wema kumuumiza roho zari ila wangejuaa mwenzao ana mahesabu yake akiamua kuwakaushia anawakaushia kimoja

Dai akija oa mwanamke mwingine ,wema atajinyonga

Muda si muda tutajua tu anayempa jeuri wema

Maskini mbu wa watu kapotezewa,nguvu zote zile hadi kubeba mimba na tambo tele ila kazimwa na kusahaulika kama dokta shika
Huyo anayemtumia naona anamtumia vizuri kweli maana na yeye hajui kama anatumika.

Mbu bhana,hapa ndo naamini lilia bahati na si uzuri kwakweli.Na watu wamemsahau kabisa.
 
29088868_514436742284448_3803884076859916288_n.jpg
Na wifi mtu nae wale wale.
Huyo anayemtumia naona anamtumia vizuri kweli maana na yeye hajui kama anatumika.

Mbu bhana,hapa ndo naamini lilia bahati na si uzuri kwakweli.Na watu wamemsahau kabisa.
 
Back
Top Bottom