Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

428933470_30111.jpg
 
Say whaaaaaaat?

Tatizo PM karibu zote zimefungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Eti wanaume wote wanaojielewa wako pm,tena wana maneno mazuri ya kubembeleza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Asanten sana wana jf hasa wanaume wa umu

Na hii ndo jf,bora hizo pm zilizofungwa maana kama huyo[emoji115][emoji115][emoji115]itabaki kidogo tu awaanike

Gudi moningi
 
JF hapa vurugu tupu. Na mtandaoni kwa ujumla. Telegram kule mambo yanawaka moto balaa watu kudhalilishana mtindo mmoja. Kutongoza online always has been a risk na sasa inazidi japo wanaume hawakomi, na hasa hawa matinejazi.

Just woke up. Ready for church to worship my Creator. We siku yako inaendeleaje?
 
Uvunaji hufuatiwa na kupura. Soya haitakiwi kupigwa kwa nguvu kwa sababu mbegu yake hupasuka kirahisi. Baada ya kupura, takataka na uchafu mwingine huondolewa kwa kupepetwa na kupembuliwa. Kisha hukaushwa mpaka kubakia asilimia 10 ya unyevu ndani ya mbegu, hapo huwa tayari kuhifadhiwa ghalani kwa matumizi au kusubiri soko. Kwa kawaida, mavuno ni kilo 1500 hadi 2500 kwa hekta. Ukubwa wa mavuno hutegemea aina, hali ya hewa, rutuba ya udongo, matumizi ya mbolea, na utunzaji wa jumla wa shamba.
Haina Soko
 
JF hapa vurugu tupu. Na mtandaoni kwa ujumla. Telegram kule mambo yanawaka moto balaa watu kudhalilishana mtindo mmoja. Kutongoza online always has been a risk na sasa inazidi japo wanaume hawakomi, na hasa hawa matinejazi.

Just woke up. Ready for church to worship my Creator. We siku yako inaendeleaje?
Hatuwezi kukoma hadi yatukute,sijui hatujifunzi kwa wengine.

Ndo natoka kibaruani saizi,nashukuru Mungu.[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom