carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Huyo anayemtumia naona anamtumia vizuri kweli maana na yeye hajui kama anatumika.Yaan eti mbona zari alipiga au mbona zari alifanya hivi,wakiambiwa wanamuiga zari mapovu teleee
Nahisi kuna mtu wa kati hapo anamtumia wema kumuumiza roho zari ila wangejuaa mwenzao ana mahesabu yake akiamua kuwakaushia anawakaushia kimoja
Dai akija oa mwanamke mwingine ,wema atajinyonga
Muda si muda tutajua tu anayempa jeuri wema
Maskini mbu wa watu kapotezewa,nguvu zote zile hadi kubeba mimba na tambo tele ila kazimwa na kusahaulika kama dokta shika
Huyo anayemtumia naona anamtumia vizuri kweli maana na yeye hajui kama anatumika.
Mbu bhana,hapa ndo naamini lilia bahati na si uzuri kwakweli.Na watu wamemsahau kabisa.
Hovyo kabisa hawa.View attachment 724756 Na wifi mtu nae wale wale.
Si hautaki kuamini kama ni mzima.[emoji24] [emoji24] [emoji24] nn tena best
[emoji106][emoji106][emoji106]
Say whaaaaaaat?
Kweli..Say whaaaaaaat?
Tatizo PM karibu zote zimefungwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]