Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Halafu mwingine anakuwekea mitego kabisa ili ujiachie kwake....

Naomba kacheo huko chama cha wagumu na mimi. Hata ufagizi utanitosha [emoji23][emoji23][emoji23]

Wewe huwezi aisee, una wafukuzaji wengi humu mara mda wa kwenda kwa bed unapofika! [emoji1][emoji1550][emoji1550][emoji1550]
 
Wagonjwa wa akili 55 waliokuwa wametenda makosa mbalimbali yakiwamo ya jinai, wameachiwa huru baada ya mahakama kutowatia hatiani.

Hayo yameelezwa jana na waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi wakati akiwasilisha mpango wa makadirio ya bajeti ya wizara hiyo mjini Dodoma mbele ya Kamati ya Bunge ya Katiba na Sheria.
 
Profesa Kabudi alisema kifungu cha 219(5) cha Sheria ya Mwenendo wa Mashauri ya Jinai, sura ya 20 kinampatia waziri mwenye dhamana ya masuala ya sheria mamlaka ya kuwaachia huru wagonjwa wa akili waliotenda makosa mbalimbali ya jinai yakiwamo ya mauaji.
 
Kutokana na mamlaka hayo ya kisheria, katika mwaka wa fedha wa 2017/2018 nilisaini hati ya kuachiliwa huru wagonjwa 55 wa akili waliotenda makosa mbalimbali ya jinai wakiwa na ugonjwa wa akili na hivyo mahakama kutowatia hatiani,” alibainisha waziri huyo.

Alisema kwa muda mrefu wagonjwa hao walikuwa wakihifadhiwa kwenye taasisi ya Isanga mkoani Dodoma kusubiri amri ya waziri.
 
Kutokana na hali ya afya zao za akili kuimarika, niliamua waachiwe huru ili waungane na familia zao kuendelea na matibabu wakiwa nje ya taasisi hiyo,” alisema.

Pamoja na kuelezea kuachiwa huru kwa wagonjwa wa akili, Profesa Kabudi pia aliainisha mafanikio mbalimbali yaliyotekelezwa na wizara pamoja na taasisi zake katika utoaji na usimamiaji wa haki katika kipindi cha mwaka 2017/2018.
 
Akizungumzia suala hilo, wakili wa kujitegemea, Ernest Tulibolela alisema kifungu cha sheria alichotumia Profesa Kabudi kuwaondoa watu hao mikononi mwa mahakama kipo kwa ajili ya kuwalinda kutokana na hali zao kiafya.

Alisema, bahati nzuri ni kwamba kinampa uhuru waziri huyo kuamua hatima ya mgonjwa wa akili mara tu anapothibitika kuwa na ugonjwa wa akili.
 
Nadhani ni kifungu kizuri na ni vyema kikaendelea kuwapo, lakini huko tuendako kutokana na magonjwa ya akili kuongezeka tunaweza kujikuta watu wengi wanaotenda makosa wakawa wagonjwa wanaachiwa,” alisema.
 
Utu
IMG-20180324-WA0008.jpg
 
Back
Top Bottom