Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

4. If you want happiness for an hour take a nap.
If you want happiness for a day –go fishing
If you want happiness for a year – inherit a fortune.
If you want happiness for a lifetime-help someone else
-chinese proverbs
 
446715376_3137.jpg
 
Kama unahitaji furaha kwa saa moja pata usingizi wa muda mfupi.
Kama unataka furaha kwa siku moja, nenda kavue samaki.
Kama unataka furaha kwa mwaka mmoja, rithi mali.
Kama unahitaji furaha kwa maisha saidia watu wengine.
Hizi ni nukuu kutoka katika methali za kichina
 
2. ‘’everyone wants to live on top of the mountain, but all the happiness and growth occurs while you’re climbing it-Andy Rooney
Kila mmoja huwa anapenda kuishi juu ya kilele cha mlima, lakini furaha yote na kukua huwa inaonekana wakati ukipanda mlima
 
1. Happiness is not a goal…it’s by –product of a life well lived’’ – Eleanor Roosevelt
Furaha siyo malengo bali ni zao la kuishi maisha mazuri
Kwa hiyo mpenzi msomaji mpaka hapo umepata kujifunza umuhimu wa wewe kuwa na furaha hivyo basi chukua hatua leo furaha iwe sehemu ya maisha yako siku zote.
 
Back
Top Bottom