Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Skuli kwenye somo la Hisabati tulikuwa tunaambiwa ku prove kama SinXsquared +CosXsquared=1 Prove basi kama hiyo statement ya hao mabwana ni kweli! [emoji1][emoji1]
Sikuwahi kuambiwa hizo Sin, Cos na Tan zina maana gani mbali na kukariri tu ili kuepuka viboko vya mwalimu wa Hisabati. Ufundishaji mbovu kabisa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…