Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Paris St-Germain wamefungua mazungumzo na wawakilishi wa Antonio Conte kuhusu raia huyo wa Itali Kuhamia katika mji mkuu wa Ufaransa kutoka Chelsea mwisho wa msimu huu. (Guardian)

Jakitoo anakuitaMnaongelea maji gani? [emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️[emoji1550]♂️
Paris St-Germain wamefungua mazungumzo na wawakilishi wa Antonio Conte kuhusu raia huyo wa Itali Kuhamia katika mji mkuu wa Ufaransa kutoka Chelsea mwisho wa msimu huu. (Guardian)
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili zako wakati mwingineMuulize, hahahaa.
Paris St-Germain wamefungua mazungumzo na wawakilishi wa Antonio Conte kuhusu raia huyo wa Itali Kuhamia katika mji mkuu wa Ufaransa kutoka Chelsea mwisho wa msimu huu. (Guardian)
Hasara kabisa,kununua mchezaj pesa ndefu halafu anapigishwa bench duh bora angeenda zake man cityNi kweli kabisa ambayo yanaweza kuwa negative impact kwenye future ya mchezaji. Sanchez naye naona anaelekea kusugua benchi
Paris St-Germain wamefungua mazungumzo na wawakilishi wa Antonio Conte kuhusu raia huyo wa Itali Kuhamia katika mji mkuu wa Ufaransa kutoka Chelsea mwisho wa msimu huu. (Guardian)
Tumeumbwa tofauti sana...
KweliUzembe hauruhusiwi
Mnaongelea maji gani?Jakitoo anakuita
Zina akili eeh[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] akili zako wakati mwingine
Hahahaha kwann jaman si na conte nae bonge la kochaMhhh! Kuna upungufu mkubwa wa makocha wazuri duniani.
Haswaa!Uzembe hauruhusiwi
Anaruka ruka tu...Muulize, hahahaa.