Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ni bora tu abaki L’pool badala ya kutimkia timu nyingine. Ameshakuwa kipenzi kikubwa cha mashabiki na wapenzi wa bwawa la maini duniani kote.

Mshambuliaji wa Liverpool na Misri Mohamed Salah, 25, yuko tayari kuipuuzilia mbali Real Madrid na yuko tayari kupewa mshahara wa £200,000 kwa wiki Anfield. (Sunday Mirror)
 
IMG-20180325-WA0042.jpg
 
Back
Top Bottom