Danpol
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 5,747
- 9,036
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu aliepiga hii awekwe ndani
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] huyu aliepiga hii awekwe ndani
Kweli maana nikipelekaga tetesi za huyu jamaa kutimkia Madrid kule uzi wa liver huwa nakula za uso hajahaahahaNi bora tu abaki L’pool badala ya kutimkia timu nyingine. Ameshakuwa kipenzi kikubwa cha mashabiki na wapenzi wa bwawa la maini duniani kote.
Kweli...Hata kama hupigiki siku moja utapigwa tu
Anafaa kwa kula eehh[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39][emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Shingoni tu?
Mkufunzi wa zamani wa Borussia Dortmund Thomas Tuchel amekataa kazi ya kuifunza Bayern Munich kwa sababu yuko katika mazungumzo na Arsenal. (Bild - in German)
Sahihi...Siyo kila mwanaume anayekutongoza anakupenda
Kula???Anafaa kwa kula eehh[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Kweli maana nikipelekaga tetesi za huyu jamaa kutimkia Madrid kule uzi wa liver huwa nakula za uso hajahaahaha
Bado hawajakuwa ugonjwa BAKNawe wasupuuuuu ndiyo ugonjwa wako ledada