BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,767
- 288,340
Ila kuna majirani wengine nomaa sana. Wao hukaa madirishani kuchungulia yanayojiri mtaani na wengine huwa wanajua siri za kila mtu mtaani. Majirani kama hawa ni wa kucheza nao mbali.
Tunza siri za majirani