Nafuu yako nilikuona mjinga pale uliponitishia eti utanitolea uziii unanijua?
Sio bure umejiona unalaana unalaana kubwa sana uombewe mimi sio dume mpaka unitumuie picha za wanawake mimi na mume anayenipenda nakuniheshimu so kama unaye tulia maana tumeshatulizwa na wengine.
Tayariii mwanaume unajiona kisa wewe ni member wa jf wenzako wanaringa maana wako busy wanatafuta hela sio kupoteza muda kwenye mitandao ya kijamii na kupigana na kuwatishia wadada kama katoto kazuri na nk kukusumbua lazima hujulikani na unadai mali za watu sitishiki mimi na watu waina yeyote nyambafuuu na mazoea sitakii na wtu wenye laaana.
Mimi