Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

228b8bf7-ab11-454e-a02a-89707d1ec281.jpg
 
OK sasa usinitumie meseji zako. Nisije nikakufungulia Uzi bure
Umekumbuka niachee
Ndio nilikuambia usinitumie meseji zako maana niliona ni unasumbua kupita kiasi.

Alafu mimj nmemuuliza tuuu

Katoto kadhuri==katoto kazuri??? Maana nyote mnasound the same tune kuongea .

Kosa langu nilipi?? Nikweli kabisa nahisi nilishalaaniwa , ilibaki kidogo nikufungulie uzi .
 
Zipo tamaduni nyingi ambazo watu wengi wanazo kulingana na kabila au taifa wanalotoka. Hata hivyo tamaduni hizo zinaweza zikawa za msaada au zisiwe na msaada hiyo tu inategemea na utamaduni wenyewe jinsi ulivyo.
 
Si unajua tena unaweza ukajenga utamaduni wako mwenyewe yaani utamaduni wa jinsi unavyotaka kuendesha maisha yako na usiingiliane na kitu chochote na ukakukupa mafanikio
 
tamaduni ambao nataka kuongelea hapa kwako leo, ni utamaduni wa kufikiri mambo ambayo yanaweza kukusaidia kwenye maisha na si kukuangusha. Unajua kila mtu anafikiri, ila kwa bahati mbaya wengi wanafikiri mambo yakuyaharibu sana.
 
Anza kuchukua muda wako kutafakari kile ambacho unaona kinaweza kubadili maisha yako, badala ya kukaa na kulalamika pasipo kuchukua hatua zozote. Malalamiko peke yake hayawezi kukusaidia, kitakachokusaidia ni wewe kuchukua hatua.
 
Chochote unachokizingatia kwenye maisha yako, zingatia kile ambacho unaona kina mchango wa kubadli maisha yako. Usizingatie kile ambacho unaona kinaweza kukuangusha kama malalamiko.
 
Back
Top Bottom