Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewataka wafanyabiashara wilayani hapa kutumia taasisi za fedha kukopa kwa ajili ya kukuza mitaji yao.
Ameyasema hayo leo Jumapili Machi 25, 2018 wakati akizungumza na wafanyabiashara wa wilaya hiyo katika kikao kilichofanyika ukumbi wa Chama Cha Walimu (CWT) Ruangwa.