Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

FB_IMG_1454207675586.jpg
 
hahaa ..kweli "" baada yakuupitia uzuri huu Uzi '' Nina haki ya kusema naziheshimu busara zko
Tatizo kaongo haka katoto kazuri, kanaombwa picha kanaogopa tuma!!...huku si ndio tunaita matumizi chini ya kiwango!?.
 
Hivi wewe unanitakia nini kule unitishie eti utaniwekea uzi utakaoniaibisha huku unamsumbua mtu kujua kama yeye ni mimi niache we kidudu mtu mimi nimtulivu ukiwa hunisumbui ila ukinisumbua kweli hutakuwa naamani.
Hunijui sikujui mimi ulishafutagamawasiliano yangu na yako tena kwa vitisho eti nitakutengenezea uzi ambao hutakaa kusahau .
Usinitafute kidudu mtuu tafadhali.
kwahiyo mpo wawili "" mbona sielewi "" !!

au nimtu 1 anaye miliki I'd 2
 
Hivi wewe unanitakia nini kule unitishie eti utaniwekea uzi utakaoniaibisha huku unamsumbua mtu kujua kama yeye ni mimi niache we kidudu mtu mimi nimtulivu ukiwa hunisumbui ila ukinisumbua kweli hutakuwa naamani.
Hunijui sikujui mimi ulishafutagamawasiliano yangu na yako tena kwa vitisho eti nitakutengenezea uzi ambao hutakaa kusahau .
Usinitafute kidudu mtuu tafadhali.
Palantir
mwambie aje kujibu tuhuma hizi
 
Back
Top Bottom