Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zinedine Zidane “Zizzou” ni kocha mwenye mafanikio kwa sasa La Liga lakini pia Zizzou amewahi kuitumikia Real Madrid kama mchezaji, lakini la Liga sio Zidane pekee aliyewahi kuwa mchezaji na baadae kocha.
 
428924443_37688.jpg
 
Diego Simeone, msimu wa mwaka 1995/1996 alifunga moja ya bao wakati Athletico Madrid wakitwaa kombe la ligi, baadae alitundika daluga lakini alirejea tena Athletico kama kocha na kuipandisha timu kuwa kati ya timu za kuogopwa Ulaya.
 
Ernesto Valverde ,msimu wa mwaka 1988/1990 Valverde alikuwa akiichezea Barcelona akifanikiwa kufunga mabao 8 katika mechi 22 na safari hii yuko kama kocha huku msimu huu wakitarajiwa kufanya makubwa.
Kuko Ziganda, José Ángel “Kuko” Ziganda alikuwa nyota Athletic Bilbao mwaka 1991/1998 akifunga mabao 77 katika kipindi hicho lakini sasa mambo yanamuendea kombo kama kocha ambapo hadi sasa Bilbao wako nafasi ya 13.
 
Google ni moja kati ya kampuni zenye historia kubwa sana, ukizingatia ni moja kati ya kampuni zinazotoa huduma za kuunganisha watu kwa kutumia internet kuliko kampuni nyingine hii ni kutokana na Google kuwa na huduma nyingi sana zinazotumiwa na mamilioni ya watu.
 
Jina Google linatokana na neno la kihisabati
Pengine ulishawahi kujiuliza kwanini nini jina Google.? basi kifupi ni kuwa aliyegundua jina Google alikuwa ni mwana mahesabu kwani jina Google linatokana na neno la kihesabu “googol” neno hili maana yake ni 1 na sifuri 100.
 
Mwanzo Google ilikuwa inaitwa “Backrub”
Hapo mwaka 1996 wagunduzi kutoka chuo cha Stanford cha nchini marekani Sergey Brin na Lary Page walianza kufanyia kazi project yao ya kwanza ambayo ilikuwa inahusu mambo ya tovuti na jina la project hiyo lilikuwa Backrub, jina ambalo baadae lilibadilishwa na kuitwa Google.
 
Back
Top Bottom