Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Samsung Ndio Kampuni ya Kwanza Kutengeneza Simu Yenye MP3 Player
Samsung ndio kampuni ya kwanza kabisa ambayo ilifanikiwa kutengeneza simu yenye uwezo wa MP3 na hadi kufikia mwaka 2000 samsung ilitoa simu ya Samsung SPH-M100 (UpRoar) ambayo ndio simu pekee kwa muda huo iliyokuwa na uwezo wa kusoma file za MP3.
 
852734091_120351.jpg
 
Back
Top Bottom