funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,649
- 21,523
naona unanitusiGeuzaneni
naona unanitusiGeuzaneni
naona unanitusi
PowaJOTEKEZE TAREHE 26 APRIL
umenitusi kwani wewe huoni, nakupiga BAN leo mchana kweupe ndio utashika adabuLeo ndio umeona mekutusi mie
Umeona aibu kukutolea siri?umenitusi kwani wewe huoni, nakupiga BAN leo mchana kweupe ndio utashika adabu
My lovely pimbi kwa uchovu niliokuwa nao nahisi nililala nimesimama. [emoji6]Kichwa Kichafu nmekuona kwa mbali,hebu sogea kidogo[emoji6]
Lala.[emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji42][emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji124]♂️[emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji124]♂️[emoji124]♂️
Akili za usiku.Mimi hushangaa na hii baridi yote samaki husurvive vipi ndani ya maji bila jacket? [emoji19][emoji23]
Ili waamini zaidi nenda kabisa Bujora halafu piga picha, onesha hata kidole tu.Duh sijui nijipige selfie daraja la mabatini muamin iweee bojo JF itakua motooooo
Kweli unatuma?Teari angalia Pm
Weee najipenda nikionesha kidole humu watu watatoa tafsiri zao usijaribu hii mbinu hahhaahahahIli waamini zaidi nenda kabisa Bujora halafu piga picha, onesha hata kidole tu.