Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ndio tena ilikua redio moja tu nyumban kwa balozi tulikua tunasikilizia huko muda wa taarifa ya habari hahaha wahenga sie
Kinywaji gani walikuwa wadhamini wa mchezo wa redio-Jangala?
Kipindi cha dj show kilikuwa siku gani na saa ngapi?
Kipindi cha mama na mwana cha Elesia Maneno kilikuwa saa ngapi?
Deborah Mwenda alikuwa anaendesha kipindi gani maarufu?
Kipindi cha mkoa kwa mkoa je?
Mzee David Wakati...
Mzee Katembo...
 
Ni inbox your location nije nikupe maelezo sahihi ya hilo neno, Poti! [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Huu mtihani ni UE au necta form six?

Halafu naumwa vidole ujue basi tu natype hivyo hivyoπŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…