Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Hivi alipotelea wapi?Dk shika akiona atakudai fidia [emoji28][emoji28][emoji28]
Wabongo sisi kwa maneno, visa na mikasa aisee hatujambo
Hivi alipotelea wapi?Dk shika akiona atakudai fidia [emoji28][emoji28][emoji28]
he he he he heYaani kichwa kimeshakuwa kigumu kama cha gogogo! [emoji1]
Sijambo jamani umepoteaHujambo bibie
Munapatikana wapi?Tunauza nafaka za kila aina...
View attachment 726160
Kumbe ka list karefu tuWengi sana:
Yegomasika
Numbisa
Jakitoo
Carbamazepine
Uniq (inasemekana)
Etc. Etc.....
Mikoa ya Kusini mkuu. Karibu sana.Munapatikana wapi?