Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Habari za Leo poti
Nzuri sana Poti. Umepotea sana aisee!
Habari za Leo poti
Niliona hii mechi hatari kweliMSHAMBULIAJI wa Ujerumani, Mesut Ozil amemweka pabaya Andres Iniesta baada ya kumfanyia mambo makubwa kwenye mechi yao ya kirafiki.
Mshambuliaji huyo wa Arsenal, alifanya mambo makubwa na adimu na kutoa asisti katika mchezo uliopigwa huko Dusseldorf, Ujerumani na kumalizika kwa sare ya 1-1.
Hahahahah wasalimie wapita njia huko ulipo
Wamuuze tuKOCHA wa Manchester United, Jose Mourinho amepoteza imani na kiungo wake, Paul Pogba na anaweza kumuuza katika dirisha kubwa lijalo la majira ya joto wakati akitazamiwa kukipangua kikosi cha United kwa sehemu kubwa. Pogba ambaye amenunuliwa kwa Pauni 89 kutoka Junventus ameonywa kuachana na masuala ya mitandao ya kijamii na klabu hiyo.
Staa huyo anaweza kuzivutia kwa kiasi kikubwa klabu za PSG na Real Madrid ambazo zina uwezo wa kifedha na zinatazamiwa kupangua pia vikosi vyao mwishoni mwa msimu.
Wamuuze tu
Hahaha nawe muhengaNdio tena ilikua redio moja tu nyumban kwa balozi tulikua tunasikilizia huko muda wa taarifa ya habari hahaha wahenga sie
Bonge la moviJuzi nikito safari mkoani hii movie iliwekwa ndani ya basi nikakumbuka vitu Vinci mpaka uchovu wa safari uliisha kwa kukodoa macho kukumbushia
Hujambo bibie