Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuchaji Simu Kila Mara au Kutumia Power Bank

Kumesha kuwa na kesi nyingi sana za watu kulala mika mara baada ya kutumia power bank basi simu imekua haidumu na chaji hii usababishwa na tofauti na kuchaji kwenye umeme kuchaji battery kwa kutumia battery ni mfumo ambao umesemekana sio mzuri unatoa kiasi cha umeme ambacho ni hafifu na kufanya battery ya simu yako kushindwa kuimili chaji ya umeme wa soketi hivyo kutokudumu na chaji
 
Kuchaji Simu Kwenye Mazingira ya Joto Sana au Baridi Sana

Kuchaji simu kwenye mazingira ya joto sana au baridi sana kunafanya simu yako kuchaji kwa haraka sana au taratibu sana hivyo kupelekea battery yako kutokupata chaji vizuri na kusababisha simu yako kuisha chaji kwa haraka.
 
Back
Top Bottom