Cole Williams
JF-Expert Member
- Jun 1, 2016
- 35,345
- 201,629
Tryna keep it low
Halafu kitambo kweli nimekula nyama ya bata.
Halafu kitambo kweli nimekula nyama ya bata.
Ulipika mwenyewe au ulipikiwa?Halafu kitambo kweli nimekula nyama ya bata.
Hahahhaa!! Nilipikiwa.Ulipika mwenyewe au ulipikiwa?
Na wewe unamlaga?Halafu kitambo kweli nimekula nyama ya bata.
Na wewe unamlaga?
Mi napendaga kumshikilia ile mihips... Nyama ya kifuani imemjaa hadi raha
Nyama ya bata ni tamu nyama ya bataa[emoji445] [emoji443] [emoji444] [emoji443] [emoji445] [emoji445] [emoji444]