Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwanasheria aliyejitangaza kuwa jenerali wa Vuguvugu la Taifa la Kuikatalia Serikali (NRM), Miguna Miguna Jumatatu usiku alizua kizaazaa kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Jomo Kenyatta baada ya kukataa kuingia kwenye ndege ili apelekwe Dubai na baadaye Canada.
 
Juhudi za kumwingiza kwa nguvu wakili huyo kwenye ndege hiyo, ziligonga mwamba naye akisisitiza: "Siingii kamwe". Mkasa huo ulinaswa vizuri na mtangazaji wa runinga aliyesafiri naye kwenye ndege.
 
Seneta wa Siaya James Orengo ambaye aliongoza jopo la wanasheria katika kujaribu kuwezesha Miguna aruhusiwe kuingia aliapa kuchukua hatua za kisheria Jumanne asubuhi huku akiishutumu Idara ya Uhamiaji kwa kukiuka amri ya mahakama.
 
Tulichosema hapa kwa kweli ukuaji wa deni tunasema ni himilivu lakini jinsi linavyoongezeka tunakaribia maeneo ya wasiwasi. Asilimia 72 ya GDP (Pato la Taifa) siyo mbaya lakini ikifika asilimia 76 nchi nyingine zimepata shida, inabidi tuangalie sasa namna gani tunaweza ku-control ukuaji wa deni hilo,” amesema.
 
Back
Top Bottom