Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Mtoto wa rais mstaafu wa Angola, Jose Eduardo dos Santos amefunguliwa rasmi mashtaka ya ufisadi akituhumiwa kuchota kutoka Benki Kuu dola za Marekani 500 milioni (sawa na shilingi za Tanzania 11,286,250,000) na kuzisafirisha kwenda Uingereza.