Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mwenyekiti mwenyewe mlaini tu,meona huko analalamika "moyo umedondoka",halafu mwenye ujumbe kapotezea[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwaga mchele huo

Mwenyekiti nae limoyo limedondokea mahala? [emoji134]‍♂️[emoji134]‍♂️ Hii ndoto acha tu initese, najua yule muuza maparachichi masikio yamemsimama huko, nauchuna tu! [emoji1][emoji1]
 
Weee shetan popote ulipo shindwa na legeaa tenaaaa chukua ka avatar ka yego weka kwapan kwa le mbebez vuruga vuruga huko tupia kwenye kiatu cha muhenga the list nusisha mpaka pepo atoke
Wala usihofu, ugumu uko palepale! Lawama zote namtupia shetani kwa kutaka kunitia majaribuni! [emoji1][emoji1]
 
BcEgAocDUl6.jpg
i
 
Back
Top Bottom