myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Naomben Radhi Wana Jukwaa Nimefanya Makosa Kama Binadam Naomben Samahan Na Nimechukua Jukum La Kuzifuta Picha Zote Zenye Ukakasi
Na Rudia Tena Samahanin Nimefanya Makosa
[emoji106][emoji106][emoji106]Okay
Amani itawale [emoji120]Kila anaeposti ujinga...
Dats Y Nimetanguliza Neno Samahan Sikuona Umuhim Wowote Wa Kuleta Kibuli Ilihal Mim Ndiye Mwenye KosaUtapimwa kwa posti zako...
Kikubwa ni ustaarabu.
Hapa wako watu wa aina tofauti
Panda darini boss, kwangu nateleza tu, haina tatizoMnaotumia Halotel kwa bando la internet, Leo mbona kama network haiko sawa au ni simu yangu ?