Mwenye Enzi muumba ni mwema kwetuMwenye Enzi Mungu ni mwaminifu sana kwangu
Matokeo ya timu ya taifa ilikuaje?Meneja wa Arsenal Arsene Wenger amesema anataka sana kiungo wa kati Jack Wilshere asalie katika klabu hiyoo. Mchezaji huyo wa England wa miaka 26 amekuwa kwenye mvutano na klabu hiyo kuhusu mkataba baada yake kuombwa akubali kupunguziwa mshahara. (Star)