Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuhusu baba yake, Martin alikuwa kwenye kikosi kile matata cha Arsenal isiyofungwa na alibeba mataji matatu ya Ligi Kuu England na matano ya Kombe la FA. Kwenye soka la kimataifa aliichezea England mechi 43.
 
Kuna Pep Guardiola, Jose Mourinho, Jurgen Klopp, Antonio Conte na Arsene Wenger. Lakini, unamjua mwenye mataji mengi kuliko wengine? Bahati mbaya kwa Mauricio Pochettino wa Tottenham Hotspur hayupo kwenye orodha hii kwa sababu hajawahi kubeba taji lolote tangu awe kocha. Makocha wa Top Six England wanaoongoza kwa mataji.
 
Jurgen Klopp- mataji 5

Liverpool mara ya mwisho kubeba ubingwa wa ligi ni zaidi ya miaka 30 iliyopita. Walikaribia kulibeba taji la Ligi Kuu England mwaka 2009 na 2014, lakini gundu liliendelea ikashindwa. Kwa sasa ipo nafasi ya tano katika msimamo wa ligi, ikiachwa pointi kibao na vinara Manchester City.
 
Kocha wa timu hiyo, Jurgen Klopp alibeba ubingwa wa ligi akiwa na Borussia Dortmund na hilo linaipa matumaini kwamba kuna siku inaweza kuizindua na kubeba taji hilo inalolisaka kwa muda mrefu. Msimu huu imeonyesha upinzani mkali na ipo kwenye hatua ya robo fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya. Klopp kwenye maisha yake ya ukocha amebeba mataji matano:
 
Msimu wake wa pili, mambo ni magumu na hafahamu kama timu yake itakamatia nafasi ya kucheza Ligi ya Mabingwa Ulaya msimu ujao. Chelsea inahitaji kupambana kwelikweli kumaliza msimu ikiwa kwenye kiwango bora ili iwe ndani ya Top Four, la sivyo mambo yatakuwa magumu kwa kocha wake. Katika maisha yake ya ukocha, Conte amebeba mataji saba.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…