Njia rahisi ya kujua kama mtu anadanganya.
Ipo njia rahisi sana ya kujua kama mtu anadanganya, na njia hiyo ni kuuliza swali ambalo linahitaji jibu la moja kwa moja na la uhakika. Kama mtu ni mkweli na anaamini kile anachosema, basi atakupa jibu la moja kwa moja na la uhakika. Lakini ukianza kuona mtu anatoa maelezo mengi na hakuna jibu la uhakika, jua hapo kuna kudanganywa ndani yake.