Asante sana mkuu. Msalimie sana huyo dadangu na wapwa zangu. Mwambie kwamba siku nikitia mguu hapo Kibamba lugha pekee ni Kikoromije. Ikibidi aanze kujifunza pole pole. Barikiweni sana na Mungu Aendelee kudumisha ndoa yenu [emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]
[emoji2] [emoji2] [emoji2]Ayaaaa, kumbe huyu Mlugaluga katuolea dada yetu? Ngoja niseme tu kama Walugaluga wa hapa Nansio, wakimuona dada yao anamdate au kaolewa na mzungu utasikia tu wanaambiana; Bro, we lost our sister! [emoji1][emoji1]
Nawongelamo bhwa kisi tabhani.Yebhe, waongelamu?
Uchalila kuwongela?Yebhe, waongelamu?
AiseeThe Nature of love is pain
Uchalila kuwongela?
Ooh!Nichali, bado nimapema! [emoji1]
Anye nemukileOoh!