π π π πLeo nimecheka baada ya kumkuta mdada anaimba nyimbo ya davido ya IF, kwenye ( pre - chorus )
Yeye anaimba,
Maybe maybe for anaye
Maybe maybe,
Maybe maybe for antlanta ehee...
Nikaamua nimrekebishe kidogo.
No do no do,
No do no gararara
No do no do
No do no senrere o
No do no do
No do shankara owe
No do so do
No do no gararara for me o !!
Akachukia kweli... [emoji1] [emoji23] [emoji119]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hauna maana.Ayaaaa, kumbe huyu Mlugaluga katuolea dada yetu? Ngoja niseme tu kama Walugaluga wa hapa Nansio, wakimuona dada yao anamdate au kaolewa na mzungu utasikia tu wanaambiana; Bro, we lost our sister! [emoji1][emoji1]
Shuwaini zao kama ni kweli sijui!!! Ni aibu kwa wengi
Mwamvuli jamaniiii mwamvuli huooo.... Aaaa...mwamvuli jamaniiii... Kichwa cha mwamvuli kwenye sehemu yake....
Hahahahaa! Ndugu yako huyo, hapo mitaa ya uhindini.Mwamvuli jamaniiii mwamvuli huooo.... Aaaa...mwamvuli jamaniiii... Kichwa cha mwamvuli kwenye sehemu yake....
Hahahahaa! Ndugu yako huyo, hapo mitaa ya uhindini.
Kumbe na wewe mkorofi eeeh!?
Kuna kakifaa kanauzwa dola 5 Amazon kila ukiingia hotelini hasa hizi uchwara kanascan kila kitu na kama kuna mtu kategeshea vikamera hata kama ni vidogo namna gani kanagundua. Wafanyakazi wa hotelini na lodge wasio waaminifu hufanya hivyo siku hizi ili wapate picha na video za kwenda kusambaza mitandaoni huko kwenye magrupu ya WhatsApp.Shuwaini zao kama ni kweli sijui!!! Ni aibu kwa wengi
Kumbe ulikuwa hujui? Ndiyo maana namwitaga shemeji. Tena kaoa Koromije kabisa katika ukoo wetu. Na bado kuna kamzozo ka mahari. Jamaa mjanja alitupiga ng'ombe 15 kagoma kumalizia mpaka leo. Usimuone hivyo. Siyo mtu mtu mzuri kihivyo japo ni tajiri wa kutupwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ayaaaa, kumbe huyu Mlugaluga katuolea dada yetu? Ngoja niseme tu kama Walugaluga wa hapa Nansio, wakimuona dada yao anamdate au kaolewa na mzungu utasikia tu wanaambiana; Bro, we lost our sister! [emoji1][emoji1]
π π π π πKumbe ulikuwa hujui? Ndiyo maana namwitaga shemeji. Tena kaoa Koromije kabisa katika ukoo wetu. Na bado kuna kamzozo ka mahari. Jamaa mjanja alitupiga ng'ombe 15 kagoma kumalizia mpaka leo. Usimuone hivyo. Siyo mtu mtu mzuri kihivyo japo ni tajiri wa kutupwa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
AiseeKuna kakifaa kanauzwa dola 5 Amazon kila ukiingia hotelini hasa hizi uchwara kanascan kila kitu na kama kuna mtu kategeshea vikamera hata kama ni vidogo namna gani kanagundua. Wafanyakazi wa hotelini na lodge wasio waaminifu hufanya hivyo siku hizi ili wapate picha na video za kwenda kusambaza mitandaoni huko kwenye magrupu ya WhatsApp.