Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Nipo shem,Shemeji changu kipenzi Carba naona likes zako tu. Hujaonekana hapa kwa siku kadhaa. Kwema huko? Majukumu yamekuzidi au ni nini?
π π MuoneNilitegemea uweke na ka emoji ka vicheko hapo. Ni utani tu bwana. Nshaacha kwani inavyoonekana hii ishu ishakuwa sensitive mapovu nje nje...
Halafu unahisi mie mdogo eeh?? Ulitakiwa useme muone. π π π πKaone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe siyo kimbaumbau kwani? Wewe siyo andaeitini kama wenzio wengi hapa? Kaone inakuhusu usilalamike [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Halafu unahisi mie mdogo eeh?? Ulitakiwa useme muone. π π π π