Wewe nae acha uchokozi.Weeee umekataliwa bhana usizuge hapa.... [emoji23] [emoji1] [emoji4] [emoji119] [emoji119]
[emoji23] [emoji1] [emoji119] me najua we mroma.Mkristo.
Hahahaha, Mroma????[emoji23] [emoji1] [emoji119] me najua we mroma.
[emoji22] [emoji17] sawaWewe nae acha uchokozi.
Ingekuwa Tanzania intaneti ingewaka moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndiyo bosi me dhehebu langu la kina jay z. [emoji85] [emoji87] ( nimetoa siri )Hahahaha, Mroma????
Wamaanisha Roman Catholic?
Umepaniki ila tuongee ukweli si umekataliwa wewe katu katu [emoji23] [emoji1] [emoji119]
Kukataliwa kwa mwanaume ni jambo la kawaida tu mbona. Mi huwa nachukulia kukataliwa kama motivation ya kuchacharika zaidi. Na cha ajabu usije kushangaa huyo huyo aliyekukataa huko mbele ya safari mnagongana tena mkiwa kivingine. Ndiyo maana mabinti wanaojielewa anakukataa kwa heshima kwa sababu ya huko mbele huwezi jua...We ukitusi me na"like" ila umekataliwa inauma sana kwa kweli... [emoji1] [emoji23] [emoji119]
Ukinichukia sikosi hela hivyo kwangu siyo kesi kunicompare na pyaar hawezi kuwa freshi... [emoji1] [emoji23] [emoji119]Limbukeni wa mtandao wewe! Majuha kama wewe ndiyo mnachafua mawasiliano ya mtandaoni kwa upumbavu wenu. Mie kuomba samahani kwa Pyaar halikuhusu hili chochote kile. Pyaar amenielewa lakini taahira wewe umebaki kutoa povu zito kwa jambo ambalo huna ushahidi hata chembe. Jiongeze na ujuha wako. Mtandaoni si mahali pa kuonyesha upumbavu wako. Katafute kwa wapumbavu wenzio ukamwage povu huko.
Kaone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Isikusumbue mkuu, mpenzi neno la kawaida sana kwangu..
Kuwa na amani kabisa.
Hana pesa bhana huyo usimtete hapa [emoji23] [emoji1] [emoji119]Kukataliwa kwa mwanaume ni jambo la kawaida tu mbona. Mi huwa nachukulia kukataliwa kama motivation ya kuchacharika zaidi. Na cha ajabu usije kushangaa huyo huyo aliyekukataa huko mbele ya safari mnagongana tena mkiwa kivingine. Ndiyo maana mabinti wanaojielewa anakukataa kwa heshima kwa sababu ya huko mbele huwezi jua...
Ulivyofurahia sasa[emoji55] [emoji55]Kaone [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Roman Catholic sio la kikristo??Ndiyo bosi me dhehebu langu la kina jay z. [emoji85] [emoji87] ( nimetoa siri )
MAMBO yangekua motoooIngekuwa Tanzania intaneti ingewaka moto [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ukinichukia sikosi hela hivyo kwangu siyo kesi kunicompare na pyaar hawezi kuwa freshi... [emoji1] [emoji23] [emoji119]
Mpotezee huyo goldie ink, anasumbuliwa na usingizi wa mchana.Wapi nilipoandikia kuhusu kukuchukia? Acha kujibaraguza. Siwezi kukucompare juh.a wewe na Pyaar. Pyaar na mstaarabu na muungwana tofauti kabisa na wewe ZERO BRAIN. Jambo halikuhusu chochote kile unalirukia na kuanza kumwaga povu lako zito.
Huna makuu. Unaheshimika. Unapenda sana watoto. Unapenda familia. Unapenda mume mwenye kutekeleza majukumu yake sawa sawa. Mume mwenye upendo. Nakuombea sana siku moja ndoto zako hizi zote zikatimie - upate mume mwema mkajenge familia yenye upendo wa kweli. Itakuwa !!![emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545][emoji1545]