goldie ink
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 5,634
- 9,156
Weeee umekataliwa bhana usizuge hapa.... [emoji23] [emoji1] [emoji4] [emoji119] [emoji119]Acha kurukia jambo usilolijua kwani nani alikwambia nimewahi kumtongoza!? Mtu ambaye hujawahi kumtongoza anakukataa vipi? Unajua chochote kuhusu auto correct au ni kutaka kuonyesha ujuha wako hadharani!?