Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

😀 😀 😀 😀
My number wani
tin tin
Sip in brukututu
For your love tutu
I go shook you
shuku shuku ooh
Biko obinauju
Shey you do me juju
Cos am feeling the juju.
Kumbe wewe ni mwanamuziki mzuri tu haya jumatano ya next wiki njoo studio ya THE INDUSTRY.... ! Seriously naomba ufike.... [emoji23] [emoji1] [emoji4] [emoji119]
 
Pyaar kwanza nikushukuru sana kwa ustaarabu wako wa hali ya juu uliyonionyesha. Kama unavyozijua hizi smart phones usipokuwa makini unapoandika kitu kinaweza kabisa kugeuzwa likawa neno tofauti au hata kuongeza neno ambalo hukukusudia.

Nilikuita mpenzi kimakosa ungeweza kabisa kunizodoa weye BAK mimi nawe ni lini tumeanza kuwa wapenzi!? Lakini ukapotezea tu.

Nakushukuru sana kwa ustaarabu na uungwana wako ulionionyesha. Ubarikiwe sana Pyaar.

Auto correct problems

The 45 Funniest Autocorrect Fails Of 2014

Usiku mwema na njozi njema mpenzi.
 
Amekukataaa [emoji23] [emoji1] [emoji119]
Baki hivyo hivyo kama jina lako.
 
IMG_20180329_071553_014.jpg
 
Pyaar kwanza nikushukuru sana kwa ustaarabu wako wa hali ya juu uliyonionyesha. Kama unavyozijua hizi smart phones usipokuwa makini unapoandika kitu kinaweza kabisa kugeuzwa likawa neno tofauti au hata kuongeza neno ambalo hukukusudia.

Nilikuita mpenzi kimakosa ungeweza kabisa kunizodoa weye BAK mimi nawe ni lini tumeanza kuwa wapenzi!? Lakini ukapotezea tu.

Nakushukuru sana kwa ustaarabu na uungwana wako ulionionyesha. Ubarikiwe sana Pyaar.

Auto correct problems

The 45 Funniest Autocorrect Fails Of 2014
Hahahahaaa!
Sioni pia ubaya wa neno hilo.
 
Hahahahaha lol! Mgeni gani lakini OG anayengia mahali na kuonekana anapajua vizuri kiasi hicho!?

Ujuwe niliusoma uzi wako kidogo japo nilikuwa niko lupango unachungulia tu kwa mbali huwezi kupost chochote, Niambie mimi tu OG mwandiko wako huu nadhani nimewahi kuuona humu lakini ni ngumu kukumbuka kwa ID ipi.

[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] old grani is my I'd. Lakini naona wanajf wananibatiza gilesi...ambaye najitahidi kumsearch simpati[emoji23] I wish nimjue huenda tnafanana
 
Back
Top Bottom