Tatizo lingine wajukuu mnachagua sn jamanii...Tatizo sio uchache wenu.
Wengi wenu hamna sifa za kuwa baba wa familia..
Ni mrembo kwel na habar zke c za nchi hii[emoji38] [emoji38] Mara ya mwsho alidate cjui na davido yule...msanii flan ivi wa Nigeria...nadhan atakuwa kashamwagwa[emoji4] [emoji4]Mh! Kuna Wabongo warembo sana. Mie nilidhani ni Mmarekani na kweli wanafanana sana na Wema. Alikuwa Kisumu Kenya nadhani na watoto wa madrasa akaandika “Nimeshare chote nilichokuwa nacho”
Na wanawake ni wachache pia. Nani ataoa huu utitiri wa maslei kwini?Wanaume tumekua wachache
Ni mrembo kwel na habar zke c za nchi hii[emoji38] [emoji38] Mara ya mwsho alidate cjui na davido yule...msanii flan ivi wa Nigeria...nadhan atakuwa kashamwagwa[emoji4] [emoji4]
Tutaoa hata wawil wawil sio mbaya, balance itapatikana humo humoNa wanawake ni wachache pia. Nani ataoa huu utitiri wa maslei kwini?
Sio mbaya kaipeperusha Bendera yetu ya Tanzania nigeria[emoji23] [emoji23] [emoji23]Duh! Inakuwaje mtu unammwaga mrembo kama yule!? Labda alitaka kugegeda tu kisha kusepa. Hawa celebrities ndiyo zao hizo za kugegeda warembo wote wanaokatiza mbele ya himaya zao kisha wanateleza kama nyoka aliye mchangani.
Bak Ndo Leo naona kapigwa Ban
Sio mbaya kaipeperusha Bendera yetu ya Tanzania nigeria[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sio mbaya kaipeperusha Bendera yetu ya Tanzania nigeria[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] old grani is my I'd. Lakini naona wanajf wananibatiza gilesi...ambaye najitahidi kumsearch simpati[emoji23] I wish nimjue huenda tnafananaEti ID yako ya siku zote ni ipi? Kama hutajali swali langu OG. Vinginevyo lipotezee tu.
Kichaa hajui kuwa ni kichaa na anaweza kuwa anakuona wewe ndiye kichaa kumzidi yeye. Ndiyo maana ni kazi bure kutukanana na kichaa kwa sababu mara nyingi hata wewe unayedhani na kuamini kuwa huna kichaa unaweza kuishia kuonekana kuwa ni kichaa zaidi kuliko huyo umdhaniye kuwa ni kichaa. Na Kezilahabi - yule Shakespeare wa Fasihi ya Kiswahili - huwa anasema mara kwa mara kwamba vichaa ndiyo wana ukweli wote. Kwa hiyo ukiona vichaa wawili wanatukanana, tega sikio kwa makini. Katika matusi yao ndimo mna ukweli wote !!!.......Sasa inakuwaje ufungiwe kwa kumuita mwenye ukichaa kwa jina analostahili!?
Sio kuchagua bibi, unaangalia na mwanaume ambaye kichwani ni timamu..Sio muda wote yeye ni wa kukurupukakurupuka tu.Tatizo lingine wajukuu mnachagua sn jamanii...