Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Screenshot_20180325-194707.jpg
 
Hahahahaha lol! Mgeni gani lakini OG anayengia mahali na kuonekana anapajua vizuri kiasi hicho!?

Ujuwe niliusoma uzi wako kidogo japo nilikuwa niko lupango unachungulia tu kwa mbali huwezi kupost chochote, Niambie mimi tu OG mwandiko wako huu nadhani nimewahi kuuona humu lakini ni ngumu kukumbuka kwa ID ipi.
Si bure utakuwa ushaanza kunpenda kikongwe mm...maana kila ukiuona mwandko wangu hisia zko znakwambia Ka unaujua[emoji15] [emoji15]
 
Back
Top Bottom