Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hahahahaha lol! Nimekusoma kule eti maini hayazeeki utamu ni ule ule mradi tu chumvi na ndimu vikolee. Ila mwandiko wako uko bomba na kweli kuna mtu ana mwandiko unaofanana na huu wa OG. Mbona umenitolea mimacho OG? Unajua hivi viemoji kila nivionapo naishia kutabasamu pamoja na kuwa nimeviona zaidi ya mara million.

Si bure utakuwa ushaanza kunpenda kikongwe mm...maana kila ukiuona mwandko wangu hisia zko znakwambia Ka unaujua[emoji15] [emoji15]
 
852734549_125691.jpg
 
Hahahahaha lol! Nimekusoma kule eti maana hayazeeki utamu ni ule ule mradi tu chumvi na ndimu vikolee. Ila mwandiko wako uko bomba na kweli kuna mtu ama mwandiko unaofanana na huu wa OG. Mbona umenitolea mimacho OG? Unajua hivi viemoji kila nivionapo naishia kutabasamu pamoja na kuwa nimeviona zaidi ya mara million.
Mkuu BAN imekwisha??
 
Muuaji huyo Mkuu ni mtu hatari sana kwa Taifa letu. Kwake yeye kuua binadamu mwenzie ni sawa na kuua sisimizi si unawaona hata Maaskofu nchini wameamua kumuonya hadharani!? Hili la Maaskofu kumuonya aliye Ikulu halijawahi kufanywa tangu tupate uhuru miaka 57 iliyopita. He is a huge disgrace to our beloved country.

he he he he
kweli una hasira naye aiseeee.

Kha...
 
Muuaji huyo Mkuu ni mtu hatari sana kwa Taifa letu. Kwake yeye kuua binadamu mwenzie ni sawa na kuua sisimizi si unawaona hata Maaskofu nchini wameamua kumuonya hadharani!? Hili la Maaskofu kumuonya aliye Ikulu halijawahi kufanywa tangu tupate uhuru miaka 57 iliyopita. He is a huge disgrace to our beloved country.
Mkuu, huu mwandiko wako kama wa mtu ninae mjua hv
 
Back
Top Bottom